Thursday, 13 July 2017

LACAZETTE AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ARSENAL IKISHINDA 2-0


Alexandre Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya, Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney, Australia. 

Bao la kwanza lilifungwa na Per Mertesacker dakika ya nne tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment