Monday, 24 July 2017

Manchester City yafanya usajili tena


Manchester City imemsajili Mendy kutoka AS Monaco ya Ufaransa.

Man City imetoa pauni million 52 kumpata MEndy ambaye anakuwa beki wa tatu wa pembeni kusajiliwa na Kocha Pep Guardiola kwa ajili ya msimu ujao.

Tayari City ilikuwa imetumia pauni million 133 kusajili mabeki wa pembeni hali ambayo imekuwa ikiwashangaza wadau wengi wa soka.

Related Posts:

  • Mashabiki wa Everton “wamchamba” Lukaku  Wakati klabu ya Everton inajiandaa kuja nchini Tanzania kwa safari iliyodhaminiwa na kampuni ya Sports Pesa, mshambuliaji wa klabu hiyo Romelo Lukaku amejikuta akipokea kichambk cha kutosha kutoka kwa mashabiki wa… Read More
  • TAIFA STARS YAIPIGA MALAWI 2-0, KICHUYA MCHEZAJI BORATimu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) leo Jumapili kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi A kwenye Uwanja wa Moruleng mjini Rusternbur… Read More
  • Fabinho: Mwaliko wa Mourinho unaweza ''kunishawishi''  Kiungo wa kati wa Monaco FabinhoUhamisho wa kuelekea Manchester United unaweza ''kunishawishi'' amesema kiungo wa kati wa Monaco Fabinho ambaye amehusishwa na klabu hiyo ya Old Trafford.Mchezaji huyo mwenye umri w… Read More
  • URENO,MEXICO ZAFUZU NUSU FAINALI MABARAKazan,Urusi.TIMU za taifa za Ureno na Mexico zimefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la mabara baada ya jioni ya leo kushinda michezo yao ya mwisho ya kundi A iliyochezwa kwenye miji ya St Petersburg na… Read More
  • UCHAGUZI TFF : JINA LA MGOMBEA MMOJA LAKATWAWakati majina 73 yakipita katika hatua ya awali, Kamati ya Uchaguzi ya TFF imechuja jina la Abdallah Mussa katika orodha ya wagombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi ujao wa shirikisho.Sababu za kukata jina la Mus… Read More

0 comments:

Post a Comment