Saturday, 24 June 2017

Faida 10 za kunywa maji ya limao kila siku asubuhi


Pindi utakapoamua kunywa maji ya limao kwa kila siku asubuhi unaweza ukapata faida zifuatazo;

1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C

2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara

3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo

4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana

5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa

6. Husaidia mmeng’enyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umeng’enyaji wa chakula.

7. Himarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.

8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.

9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.

10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.

Muhimu; kamua maji ya limau na unjwe walau mara mbili kwa siku kwa muda wiki moja mfululizo utaona matokeo yake.

Related Posts:

  • Madhara ya kuvuta SigaraUfutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000 katika moshi wa sigara ambapo 250 kati ya hizo ni sumu na 70 zinasababisha ka… Read More
  • Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa na suluhisho lake Sababu za mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa na suluhisho lakeHili ni tatizo ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wanawake wengi kwa muda sasa na mwanzoni nilikuwa nalichukulia poa lakini kadri siku zin… Read More
  • Tambua Madhara ya Ulaji wa ChipsiChips ni aina ya chakula ambacho hupendwa na watu wengi na pia ni miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. chips pia inasemekana ni miongoini mwa vyakula ambavyo hupikwa katika joto la juu zaidi ya 300 degree.Chips ni chakul… Read More
  • Namna Ya Kuishi Na HIVTarehe 1 desemba kila mwaka, ni siku ya ukimwi duniani.Ukimwi na magonjwa mengine makubwa yamepewa siku rasmi kila mwaka ili kuikumbusha jamii juu ya mapambano dhidi ya magonjwa hayo. Katika siku hizo pia hutolewa matokeo ya … Read More
  • Madhara Ya Kuangalia Video Za Ngono (Porn) Na Namna Ya KuachaKuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono.Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huip… Read More

0 comments:

Post a Comment