DAR: Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Merlin KombaBi. Merlin amesimamishwa leo Juni 08 ili kupisha uchunguzi wa barua iliyoandikwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) liliandikiwa barua kutoka kwa Wizara...
Sababu ya Moyo Kupanuka
Moyo kupanuka au kuwa mkubwa ni tatizo ambalo huathiri utendaji wa mfumo wa usambazaji damu mwilini..
Jinsi ya kukabiliana na vidonda vya tumbo
Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili unaohusika na umeng’enyaji wa chakula mpaka kuwa katika hali inayoweza kusharabiwa na mwili ili kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali.
Jinsi ya kujiukinga na ugonjwa wa kaswende
Ugonjwa wa kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Treponema pallidum. Ugonjwa wa huu ni kati ya magonjwa ya zinaa.
#VIDEO: Gigy Money amefunguka kwamba alipewa Mil. 5 Arusha kabla ya Kumharibia Msando
Bofya hapa kutazama Video hiyo.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.
Friday, 8 June 2018
Wednesday, 6 June 2018
Athari Za Kuwa Na Mipango Mingi Kwa Wakati Mmoja

Moja ya changamoto kubwa ya kushindwa kufanikiwa ni kutokujua unataka nini katika Maisha yako. Huenda ukawa haujanielewa ngoja nikueleweshe, ni hivi unakuta mtu anaona maisha hayaendi vizuri mwisho wa siku ukimuuliza mtu huyo anataka kufanya nini, bila shaka kwa kuwa mtu huyo hajui kile anachokitaka atakwambia kazi yeyote ile mimi nafanya.Ukiangalia juu ya kauli hiyo ni sawa,...
Monday, 2 April 2018
Isome HAPA Barua ya Profesa Kitila Mkumbo Kwenda kwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Ikipinga Waraka Wao

Baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo,Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)S. L. P. 3033ARUSHA.Mheshimiwa Baba Askofu, Shalom!YAH: MAMBO MATANO AMBAYO HAYAPONYI KATIKA WARAKA WA MAASKOFU WA KKKTJina langu ni Kitila Mkumbo, muumini katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ambalo wewe ndiye mkuu wake. Kikazi, mimi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na...
Friday, 16 March 2018
BAADA YA KUITOA AC MILAN EUROPA LEAGUE, WENGER AHOFIA KUKUTANA NA ATLETICO, KAYASEMA HAYA

Baada ya Arsenal kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya AC MIlan usiku wa jana kwenye hatua ya 16 ya Europa League, Kocha Arsene Wenger amesema hahitaji kukutana na Atletico Madrid.Atletico na Arsenal zimefuzu kuingia hatua ya nane bora ya michuano hiyo huku droo ya timu zitakazokutana robo fainali ikitaraji kufanyika kesho.Wenger amesema anatamani kutokupangwa na timu hiyo...
Tuesday, 13 March 2018
Wasichana Wahimizwa Kupima Kubaini Maumbile ya Uke ni ya Kawaida

Wasichana nchini Uingereza wanahimizwa kutumia huduma ya mtandaoni ili kuwasaidia kuangalia iwapo maumbile ya uke wao ni ya kawaida.Huduma hiyo inapatikana kwenye mtandao wa masuala ya afya ya uzazi na ngono wa Brook, ambao unatoa mifano kwa kutumia video na kutoa ushauri kuhusu jinsi sehemu za siri za mwanamke hubadilika wakati anapobalehe au kuvunja ungo.Watafiti wa afya...
Sunday, 11 March 2018
Tarehe / Siku Nzuri kwa Mimba Kuweza Kutungwa

Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya...
Maandamano Yamwibua John Cheyo....Ataka Mabaraza ya Vyama Yatumika Badala ya Watu Kuandamana

Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo amesema mabaraza ya vyama vya siasa yakitumika kikamilifu yanaweza kuondoa malalamiko ya wananchi na viongozi wa upinzani.Amesema hayo leo Machi 11,2018 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu vuguvugu la maandamano yaliyopangwa kufanyika Aprili 26,2018 yanayoratibiwa kupitia mitandao ya kijamii.Cheyo amesema maandamano...
Mwigulu aonya atakayeandamana ‘hata kuzunguka kitanda’

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amesema amemuagiza na kumuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuwakamata watu wote ambao wamepanga njama za kutaka kuwauwa watanzania katika maandamano ambayo wameyapanga kuyafanyaMwigulu ametoa hiyo wakati alipokuwa akitoa salamu zake kwa Rais Dkt. Magufuli aliyopo Mkoani Singida katika ziara yake ya kikazi...
Thursday, 8 March 2018
Waziri akiri Kenya imekumbwa na upungufu mkubwa wa fedha

Wizara ya fedha nchini imekiri kwa serikali inakumbwa na changamoto kubwa za kifedha na haiwezi kabisa kutimiza mahitaji yake.Ufadhili wa miradi muhimu ya serikali umeathiriwa zikiwemo serikali za kaunti ambazo bajeti zao, serikali itazipunguza kwa shilingi bilioni 15 na 17 au dola [147,913,193 na 167,634,953].Kutokana na ukosefu huo wa fedha mashirika ya serikali yametakiwa...
Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI" La Sivyo Mwanamke Atakukoroga Maisha Yako Yote

BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo...
Monday, 5 March 2018
ACT Wazalendo: Diwani atakayehama chama atatengwa na jamii

Katibu wa chama cha ACT - Wazalendo Jimbo la Kigoma mjini, Azizi Ally ametoa onyo kali kwa madiwani wa chama hicho kuwa atakayekihama na kujiunga CCM atatengwa na jamii.Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Machi 5, 2018 mjini hapa kufuatia kuwepo taarifa ya madiwani wanne kupanga mikakati ya kukihama chama hicho na kujiunga CCM.Ally amebainisha kuwa diwani yeyote atakayehamia...
Waziri Charles Tizeba kuwa mgeni rasmi mechi ya Simba v Al Masry

Klabu ya Simba imetangaza kutarajia ugeni rasmi wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry SC kutoka Egypt.Simba itamkaribisha Tizeba kuongoza maelfu ya mashabiki wataoenda kuipa hamasa timu yao Uwanjani kwenye mechi hiyo itakayowakilisha taifa kwa ujumla.Simba itakuwa inacheza na Al Masry baada...
Afrika Kusini: Shirika lataka ukweli kuhusu mauaji ya mwanafunzi Mtanzania Baraka Naferi

Wanachama wa Shirika la Africa Diaspora Forum wamefanya mandamano nchini Afrika Kusini kushinikiza serikali ya nchi hiyo na serikali ya Tanzania kubaini ukweli kuhusu kuuawa kwa mwanafunzi raia wa Tanzania mwezi jana.Bw Baraka Leonard Naferi, mwanafunzi wa shahada ya uzamifu, alifariki baada ya kugongwa na gari la teksi nje ya bweni la chuo kikuu.Maafisa wa shirika hilo wameandamana...
Bashe afunguka haya

Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.Bashe ametoa kauli hiyo dakika chache zilizopita kupitia ukurasa wake maalum wa kijamii na kuungwa mkono na wananchi kupitia 'comment' kwa uamuzi...
Kim Jong-un akutana na ujumbe kutoka Korea Kusini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un anaandaa mkutano wa chakula cha jioni na wajumbe wawili kutoka Korea Kusini, ikiwa ndiyo mara ya kwanza kiongozi huyo anakutana na ujumbe kutoka Kusini tangu aingie madarakani mwaka 2011.Shirika la habari la Korea Kusini la Yonhap, liliripoti kuhusu mkutano huo likimnukuu msemaji wa rais nchini Korea Kusini.Ujumbe huo uko nchini Korea...