Home »
Michezo
» Waziri Charles Tizeba kuwa mgeni rasmi mechi ya Simba v Al Masry
Klabu ya Simba imetangaza kutarajia ugeni rasmi wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry SC kutoka Egypt.
Simba itamkaribisha Tizeba kuongoza maelfu ya mashabiki wataoenda kuipa hamasa timu yao Uwanjani kwenye mechi hiyo itakayowakilisha taifa kwa ujumla.
Simba itakuwa inacheza na Al Masry baada ya kusonga mbele katika mashindano hayo, kufuatia ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Gandermarie Nationale FC ya Djibout.
Mchezo huo utachezwa saa 12 jioni katika Uwanja wa Taifa dar es Salaam siku ya Jumatano wiki hii.
Related Posts:
CAR yaendelea kukabiliwa na machafuko mbalimbali Zaidi ya wakimbizi 150,000 walivuka mpaka kati ya Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni. Mapigano ya wiki mbili kati ya makundi yenye silaha kwenye mji wa Zemio kusini mw… Read More
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 12.07.2017 Hatma ya kiungo wa Everton Ross Barkley, 23, iko mashakani baada ya mchezaji huyo kuachwa katika kikosi kilichokwenda Tanzania. Klabu hiyo imesema anasumbuliwa na jeraha la nyonga. (Daily Mail)Eric Dier anataka ku… Read More
LACAZETTE AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ARSENAL IKISHINDA 2-0Alexandre Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya, Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa ANZ mjini… Read More
Azam kucheza mechi tatu Nyanda za Juu Kusini
Category:
First Team
Team:
Azam FC
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inaendelea kujiweka sawa kuelekea msimu ujao, habari njema ni kuwa imealikwa kwenye mikoa ya Nyanda z… Read More
ARSENAL KUMJARIBU LACAZETTI LEO KABLA YA LUNCHSydney,Australia.WAKATI idadi kubwa ya Watanzania wakiwa bado hawajaketi vitini kupata chakula chao cha mchana (lunch),mabingwa wa kombe la FA nchini England,Arsenal watashuka kwenye dimba la Allianz mishale ya saa 12:30 za m… Read More
0 comments:
Post a Comment