Thursday, 23 February 2017

OFFICIALVIDEO: K-GIZO FT. SAM WA UKWELI – USIWAJALI


Kila mwaka wasanii wapya hujitokeza kujaribu bahati zao kwenye muziki. Si wote wanaoweza kufanikiwa na kwa wengine wenye vipaji halisi kama K-Gizo hufika mbali.
K-Gizo ni msanii mpya ambaye kama utausikiliza wimbo wake ‘Usiwajali’ utakubali bila ubishi kuwa muziki ni kipaji chake na wala halazimishi. Kwenye Usiwajali yupo na Sam wa Ukweli, hit maker wa Kisiki.
Video imeongozwa na Director, Dearmant_yga ikiwa ngoma imekuwa produced by Napol Music.

Enjoy..

0 comments:

Post a Comment