Davido ameamua kudondokea mikononi mwa Tekno katika kutengenezewa mdundo mpya ambao umepewa jina la ‘IF”,
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Tekno ameamua kuipaisha ngoma hiyo ya “Davido” na kujipa ujiko wa kusema kwamba ngoma imekuwa produced yeye mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment