Baada ya kufanya vizuri na kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Ali Kiba ya wimbo wake “Aje Remix”, aliomshirikisha M.I kutoka Nigeria. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo.
Tazama hapa chini alafu toa komenti yako.
0 comments:
Post a Comment