Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi ameendelea na utaratibu wake wa kuzirudia movies ambazo zilifanya poa sana miaka ya nyuma, na round hii ametuletea story ya Adam na Eve.
Unajuaga vile sitakagi kukuchelewesha kupata vitu vizuri kama hivi, ndio maana nikaivuta hii karibu yako. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuicheki hiyo Adam and Eve yakwake Eric Omondi.
0 comments:
Post a Comment