Baada ya ngoma ya Aza ambayo kamshirikisha Q Chief kufanya poa, Bonge la Nyau amekuja na ujio huu mpya ambao unaitwa Tusiachane.
Nimeileta kwako official video ya ngoma hiyo, bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuitazama mwanzo hadi mwisho.
Habari na Burudani
0 comments:
Post a Comment