Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hili chupa jipya kutoka kwa wakali wawili wa muziki barani Africa. Ni mwanadada Yemi Alade wa Nigeria akiwa na mtu mzima Mi Casa wa South Africa.
Inaitwa Get Though This, director wa video ni Justin Campus. Nimeona sio mbaya nikiileta karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.
0 comments:
Post a Comment