Monday, 23 October 2017

RONALDO ATUA LONDON KWAAJILI YA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA LEO

semiosonyo5.blogspot.com

Nahodha wa Ureno na mshambuliaji wa mabingwa wa Ulaya Real Madrid Cristiano Ronaldo tayari ameshafika jijini London kwa ajili ya tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA.Cristiano Ronaldo mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka jana anatarajiwa kuitetea tuzo hiyo tena leo baada ya vigezo vingi kumpa nafasi mchezaji huyo kutetea tuzo hiyo lakini atakua akishindana na wakali wengine akiwemo Lionel Messi ambaye ni nahodha wa Argentina na shambuliaji wa Barcelona, Neymar ambaye anaichezea Brazil na klabu ya 
Tuzo hizo ni mara ya pili mwaka huu zinatolewa na shirikisho la soka duniani FIFA baada ya kuzitenga kutoka katika tuzo za Ballon d'or na zitafanyika jijini London katika ukumbi wa Palladium.

Ronaldo akiwa na Real Madrid anatajwa kwamba ana nafasi kubwa ya kushinda kwenye tuzo hiyo baada ya kuiongoza Real Madrid kushinda ligi ya mabingwa barani Ulaya na ubingwa wa ligi kuu Spain la Liga.

WANAOWANIA TUZO MBALIMBALI LEO

Mchezaji bora - Wanaume

Cristiano Ronaldo (POR / Real Madrid)
Lionel Messi (ARG - Barcelona)
Neymar (BRA - Barcelona/Paris Saint-Germain)

Mchezaji bora - Wanawake

Deyna Castellanos (VEN - Santa Clarita Blue Heat/Florida State Seminoles)
Carli Lloyd (USA - Houston Dash/Manchester City Women)
Lieke Martens (NED - Barcelona Femeni)

Kocha Bora - Wanaume

Massimiliano Allegri (ITA - Juventus)
Antonio Conte (ITA - Chelsea)
Zinedine Zidane (FRA - Real Madrid)

Kocha Bora - wanawake

Nils Nielsen (DEN - Danish national team)
Gerard Precheur (FRA - Olympique Lyonnais Feminin)
Sarina Wiegman (NED - Netherlands national team)

Kipa Bora

Gianluigi Buffon (ITA - Juventus)
Keylor Navas (CRC - Real Madrid)
Manuel Neuer (GER - FC Bayern Munich)

Goli Bora la Mwaka - Puskas Award

Kevin-Prince Boateng (Las Palmas)
Alejandro Camargo (Universidad de Concepcion)
Deyna Castellanos (Venezuela U-17)
Moussa Dembele (Celtic)
Olivier Giroud (Arsenal)
Aviles Hurtado (Tijuana Xolos)
Mario Mandzukic (Juventus)
Oscarine Masuluke (Baroka FC)
Nemanja Matic (Chelsea)
Jordi Mboula (FC Barcelona U-19)

Mashabiki Bora 

Borussia Dortmund supporters
Celtic Supporters
FC Copenhagen supporters

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment