Tuesday, 25 July 2017

Taarifa ya Wabunge wa CUF Kufukuzwa na Pro.Ibrahim Lipumba Yafika Kwa Spika Wabunge....Afunguka Haya


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema amepokea taarifa kutoka kwa Mhe. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba ya kuwafukuza wabunge na 8 na Madiwani wawili.Baada ya kuitafakari barua hiyo Spika amesema atoa maamuzi.


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment