Home »
Michezo
» Mchezaji wa zamani wa Real Madrid Roberto Carlos apata mtoto wa tisa
Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana
Related Posts:
Ni Wakenya Rock City Marathon 2017Abrahamu Too kutoka Kenya ameibuka mshindi wa kwanza kwenye mbio za km 42 Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza leo baada ya kumaliza kwa muda wa saa 02:22:45, akifuatiwa kwa karibu na mshiriki mwenzake kutoka nchini… Read More
Kuelekea Dar derby, takwimu zinaonesha Lwandamina ni kibonde kwa Omogsemiosonyo5.blogspot.comMechi ya Yanga vs Simba itakayochezwa October 28, 2017 inazalisha mechi nyingine ndani yake (yani mechi ndogo ndani ya mechi kubwa).Leo tuanze na mechi ya makocha (George Lwandamina wa Yanga vs Joseph … Read More
EVERTON KAMA ULIVYOSIKIA; KOCHA MPYA, MAISHA YALEYAKE, YACHAPWA 2-0 NA LEICESTER CITYLeicester: Schmeichel, Simpson, Morgan, Maguire, Fuchs, Mahrez (Okazaki 75), Ndidi, Iborra, Chilwell (Albrighton 83), Gray, Vardy (Iheanacho 89)Subs not used: King, Hamer, Dragovic, SlimaniGoalscorers: Vardy 18, Kenny og 29Ev… Read More
La Liga waendelea kukomalia pesa za PSG, waipa UEFA msimu mmoja kuwatimua laa sivyo watakwenda mbali zaidi
Shirikisho la soka nchini Hispania La Liga liliwahi kulikataa dau ambalo PSG walilitoa wakati wa usajili wa mshambuliaji wa Barcelona Neymar wakisisitiza kwamba kiasi hicho cha pesa ni kikubwa kuliko uwekezaji wa PSG.
… Read More
Cristiano Ronaldo anataka kushinda tuzo 7 za dunia na haya ndio matarajio yake katika World Cup 2018semiosonyo5.blogspot.comCristiano Ronaldo alitajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa FiFA kwa mara ya pili mfululizo jana jijini London, na nahodha wa Ureno jana baada ya kumalizika kwa shughuli ya ugawaji wa tuzo alifanya mahoj… Read More
0 comments:
Post a Comment