Friday, 7 July 2017

LACAZETTE NI MCHEZAJI MPYA WA ARSENAL KWA DAU LA REKODI


Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Alexandre Lacazette akifurahia na kocha wake mpya, Arsene Wenger wakati wa kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na Arsenal kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 53 kutoka Lyon ya Ufaransa leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

0 comments:

Post a Comment