Home »
Afya
» Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa period
Katika kipindi cha mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini.Hali hiuo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha. Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:-Orodha ya vyakula vinavyopendekezwa- Mboga za majani
- Maharage
- Soya
- Samaki
- Maziwa
- Korosho
- Mayai
- Dagaa n.k.
Mbali na vyakula hivyo, pia mwanamke huhitaji kuzingatia hali ya usafi wa mwili, hasa sehemu za siri . Tumia vitambaa safi vilivyo nyooshwa kwa pasi au pedi zilizohifadhiwa katika hali ya usafi.
Related Posts:
Faida 10 za kunywa maji ya limao kila siku asubuhiPindi utakapoamua kunywa maji ya limao kwa kila siku asubuhi unaweza ukapata faida zifuatazo;1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C2. Husafisha M… Read More
Afya Maambukizo katika njia ya Mkojo (UTI)Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chenu chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection ugonjwa ambao un… Read More
Vyakula vinavyoongoza kwa kuongeza akili kwenye ubongoKatika mwili wa mwanadamu hakuna kitu chenye umuhimu mkubwa kama ubongo, ubongo ndio ambao humsaidia mwanadamu katika kufanya mambo mbalimbali, hata hivyo inaelezwa ya kwamba ubongo wa mwanadamu ndio humfanya mwanadamu kuonek… Read More
Haya Ndio Madhara 6 Ya Kutoa MimbaKutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walio… Read More
Mambo ya Kufanya uwe na umbo dogoUnaweza kujiuliza, hivi inawezekanaje kuwa na umbo dogo la aina hii? Ukweli ni kwamba inawezekana, lakini inahitaji kazi ya ziada kufikia kwenye lengo hilo.Unalifahamu umbile la sifuri au saizi zero? Kwa wale wanaojali m… Read More
0 comments:
Post a Comment