Sakho amefuatana na mke wake Madna na watoto wake wawili wa kike.
Sakho akiwa Zanzibar alizindua mashindano ya Coco Sports Ndondo Cup mchezo ambao Taifa ya Jang’ombe walifungwa 2-1 na Mlandege SC.
Sakho yupo visiwani Zanzibar tangu Juni 17, kwa ziara ya kiutalii. Awali ziara hiyo, alianzia Tanzania Bara kisha kurejea Ufaransa na baadaye kurudi Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment