Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwhira amemraki Waziri Mkuu Kassimu majaliwa Kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika kuhudhuria Sala ya Eid Fitry Kesho.
Majaliwa amewasilia Mkoani Kilimanjaro leo jioni kwa lengo la kuhudhuria ibada hiyo ya Eid kitaifa itakayofanyika kesho Mjini Moshi mkoani humo.
0 comments:
Post a Comment