Manny Pacquiao (kushoto) akinyoosha mkono wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lake kutetea mkanda wake wa WBO uzito wa Welter dhidi ya Jeff Horn (kulia) mjini Brisbane, Jumapili
Related Posts:
MERTESACKER SASA KUWA KOCHA WA AKADEMI YA ARSENALBEKI wa kati Per Mertesacker anatarajiwa kupewa jukumu la ukocha wa akademi Arsenal kuanzia msimu ujao, ingawa hajatangaza kustaafu.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha kwanz… Read More
SUDAN YAONDOLEWA MICHUANO YA AFRIKA BAADA YA FIFA KUIFUNGIA SFAKLABU za Sudan zinazoshiriki michuano ya Afrika zimeondolewa kufuatia nchi yao kusimamishwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).FIFA imelifungia Shirikisho la Soka Sudan (SFA) katika barua yake ya Julai 6 iliyosain… Read More
MESSI AKUBALI KUONGEZA MKATABA BARCELONA HADI 2021MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo hadi mwaka 2021.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30, aliyejiunga na Barca akiwa ana umri wa miaka 13, atasaini mkataba huo atakaporejea mazoez… Read More
HUZUNI, SHABIKI MDOGO WA SUNDERLAND, BRADLEY AFARIKI DUNIA BAADA YA MATESO YA MUDA MREFUSHABIKI maarufu mtoto mdogo wa klabu ya Sunderland ya England, Bradley Lowery amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka sita baada ya kusumbuliwa na maradhi ya saratani kwa muda mrefu.Bradley alikuwa anaugua ugonjwa ambao wa… Read More
WACHEZAJI YANGA WALIVYOPIMWA AFYA LEO TAIFASource:Binzubeir Sports OnlineDaktari akimpima kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' huku, beki Mwinyi Hajji Mngwali akisubiri leo asubuhi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaaam katika zoezi la klabu hiyo kuwapima afya wachezaji wake … Read More
0 comments:
Post a Comment