Thursday, 23 March 2017

WYCLEAF JEAN AVIMBIA OMBI LA POLISI(LAPD)


23 March 2017, 1:36 pm


Wyclef Jean awavimbia polisi wa LAPD kwa kutupilia mbali msamaha wao juu yake.
Licha ya Los Angeles Sheriff’s Department kuelezea sakata hilo na kuomba msamaha kwa kile kilichotokea,Wyclef ameamua kufunguka kupitia video ambayo alirekodiwa na mtandao wa Tmz, alifunguka kwa kusema polisi wanasema uongo juu yake, kwamba polisi walimchukua kinguvu bila kutaka kumsikiliza au kujielezea kuhusiana na tukio hilo ambalo lilimkuta Wyclef siku ya jumanne asubuhi.
“This bothers me because in the case of law and in the case of how many kids are prosecuted and how many people are killed, this bothers me because this is what you call tampering of information and not giving the truth.”

0 comments:

Post a Comment