
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi ameingia kwenye majanga baada ya jina lake na picha yake kukutwa katika vipakti vya bangi class A.
Hii sio mara ya kwanza kwa nyota huyo wa Barcelona jina lake kutumiwa katika ishu ya madawa ya kulevya, tukirudi nyuma mwaka 2015 takribani jumla ya madawa ya kulevya yenye thamani ya £2.4millionyalikamatwa yakiwa na jina la nyota huyo, Newz nyingine mbaya ni baada ya polisi huko nchini Perukukamata takribani kilo 1,417 ya cocaine yenye thamani ya €85m zimekamatwa zikiwa na picha ya Lionel Messi.
0 comments:
Post a Comment