Friday, 24 March 2017

VIDEO: Mawili aliyoyakuta Waziri Mbarawa kwenye uwanja wa ndege Bukoba


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameanza ziara yake mkoani Kagera kwa ajili ya kukagua shughuli zilizo chini ya Wizara yake zinavyoendelea mkoani humo.
Akiwa katika uwanja wa ndege wa Bukoba amekutana na changamoto mbili ikiwa ni pamoja na chumba cha ghorofa kwa ajili ya wageni na ukosefu wa mnara wa kuongozea ndege ambapo Waziri Mbarawa ameahidi kuyatafutia ufumbuzi yote aliyoelezwa.
Video kamili nimekuwekea hapa chini…

0 comments:

Post a Comment