Tuesday, 21 February 2017

FULL VIDEO: Kutoka Mahakama Kuu, Freeman Mbowe asikamatwe

Ni kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe leo Mahakama kuu kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya.
Mahakama kuu leo imetoa maamuzi ambayo Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu ameyasema yote kwenye hii video hapa chini
.

0 comments:

Post a Comment