Mohamed Hamisi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,Mkazi wa Sombetini jijini Arusha, ni mtoto wa marehemu Hamisi Faustine.
Mohamed ni mlemavu wa miguu na mkono mmoja pia ana shida sana na hapendi kuomba, anapenda kujishughulisha pamoja na hali aliyokuwa nayo.
Kwa sasa anafanya vikazi vidogo vidogo vya kuweka tinted kwenye magari lakini anakabiliwa na changamoto kadhaa.
Anatamani kuwa na biashara nyingine ndogo ili aweze kuongeza kipato kuwasaidia wadogo zake watano ambapo mdogo kabisa ana miaka minne.
Anaomba msaada wako ndugu ili afungue ofisi yake achanganye kazi zake ya kuweka tinted (maana sasa anafanya kwa mtu) na pia ofisi hiyo ataweza kuongeza biashara nyingine ya kuuza na kuburn VCD, kuuza mitumba vocha na kadhalika.
Baiskeli anayotumia Mohamed Hamisi (Mlemavu) ni nzito, ni baiskeli ya mbao na chuma inamtesa sana hasa ukizingatia anatumia mkono mmoja zaidi.
*Ombi langu kwenu*
Ukiwa umeguswa kwa namna yeyote ile una nafasi ya kurudisha na kumpa tabasamu tena Kijana Mohamed Hamisi kwasababu leo kwake kesho ni kwetu,
Tumkopeshe mungu kupitia kijana huyu tukiamini ni jukumu letu kama jamii kumsaidia. Namba yake ni *+255768924516* inapokea *M-pesa na jina la YUKI HAMISI.* Pia mnaweza kumpigia kumsikiliza zaidi.ππΌππΌππΌππΌ
0 comments:
Post a Comment