Akizungumza na waandishi na habari, Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri watumiaji Sumatra, Oscar Kikoyo, alisema kuwa mabasi yatakayo kiuka kanuni hiyo faini zinawanyemelea.
“Tuna kanuni mpya za mwaka 2017 ya usafiri na hii kanuni ilipigiwa kelele sana, lakini kulingana na kanuni ya 27(b) kipengele cha 3 mabadi si sehemu ya gulio wala mabasi si msikiti wala makanisa kwenda kuhubiri dini kule ndani, kufanya biashara pamoja ni miziki na filamu ambazo azikidhi viwango na desturi za Kiafrika, kama kuna mabasi yanakiuka hii kanuni wajue hii faini inawanyemelea ,” alisema Kikoyo.
0 comments:
Post a Comment