Thursday, 14 December 2017

Shambulizi la kujitoa muhanga laua watu 10 Mogadishu


Watu 10 wameripotiwa kufariki na wengine  kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi la kuitoa mahanga lililolenga  kituo cha kutoa mafunzo cha Polisi mjini Mogadishu nchini Somalia.

Shambulizi hilo limetokea wakati wa maandalizi ya gwaride Polisi kuazimisha uwepo wake Disemba 20.

Kundi la wanamgambo wa al Shabaab linashukiwa kuendesha shambulizi hilo.

0 comments:

Post a Comment