Monday, 16 October 2017

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUZIMA MWENGE , NYERERE DAY NA WIKI YA VIJANA

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUZIMA MWENGE , NYERERE DAY NA WIKI YA VIJANA.



Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba, 2017 katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Amaan uliopo Mjini Magharibi, Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment