Saturday, 5 August 2017

Gadiel Michael sasa ruksa kukipiga Yanga


Azam FC imekubali kumuachia Gadiel Michael na sasa atacheza Yanga.

Beki huyo alilalamika kuwa Azam FC ilikuwa inambania, lakini leo Ofisa Habari wa Yanga, Jaffar Idd amethibitisha hilo.

“Yanga wamelipa nusu na sisi tumekubaliana nao kwamba tumuachie acheze, mambo mengine yatafuatia,” alisema.

0 comments:

Post a Comment