Home »
Burudani
» MWANAMUZIKI A.Y Ampongeza Mpenzi Wake Kwa Hili
Baada ya kumvisha pete uchumba wake wiki iliyopita, rapper A.Y amempongeza mpenzi wake huyo kwa kuhitimu masomo yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, rapper huyo amemposti na kumpongeza mrembo huyo kwa kuandika “I’m so proud of you..Congratulations Engineer Remy ❤️❤️❤️❤️ 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿.”
Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vimedai kuwa huwenda rapper huyo hivi karibuni akauaga ukapera rasmi kwa kufuata nyayo za mswahiba wake Mwana F.A
Wiki chache zilizopita msanii huyo aliudhulia harusi ya msanii mkongwe na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Proffesa Jay ambaye alifunga ndoa jiji Dar es salaam na kuudhuliwa na mastaa kadha akiwemo Diamond Platnum,Harmonize, Lady Jay Dee, Elizabeth Michael na wengineo.
Related Posts:
Mjengo aliokuwa akiishi Tupac kupigwa mnadaAkiwa amefariki kwa zaidi ya miaka 20, rapper Tupac bado yupo midomoni mwa watu kila siku.Hit maker huyo wa ngoma ‘Dear mama’ alitoka jela mwaka 1995 na akafikia katika mjengo wake ulipo Calfonia maeneo ya The San Fernando Va… Read More
Video: Kendrick Lamar ataja watano anaowakubali
Rapa na mwandishi wa muziki kutoka Marekani Kendrick Lamar amewataja wasanii watano ambao yeye binafsi anawaona kama ndio wakali na anaowatazama kama mfano katika muziki wake.
Kendrick sio mtu wa kupenda kutaja wasa… Read More
Beyonce na Jay Z wampa mtoto wao jina la Kiislam.Baada ya kujifungua mapacha wiki kadhaa zilizopita sasa,Beyonce na mume wake Jay-Z wabainisha majina ya wanao wawili . Mapacha wa magwiji wa sanaa ya Muziki kutoka Marekani wamepewa majina ya Rumi na Sir .Rumi ni jina la… Read More
WATU WAYADAKA MAJINA YA MAPACHA WA JAY Z NA BEYONCETUMEYAPATA! Huku watoto mapacha wa Jay Z na Beyonce wakiwa wamezaliwa siku chache zilizopita, hatimaye wafukunyuaji nchini Marekani wameyabamba majina mawili ambayo wanahisi ndiyo watakayopewa watoto hao ambayo ni Rumi Carter… Read More
Ommy Dimpoz adaiwa kuiba WimboProducer wa muziki bongo Abydad amedai kudhulumiwa wimbo aliokuwa amemuandalia msanii wake kisha kupatiwa msanii Ommy Dimpoz ambaye siku ya jana ameuachia rasmi ulichukuliwa na mtayarishaji Lolli Pop (GoodLuck Goz… Read More
0 comments:
Post a Comment