Friday, 7 July 2017

Mjengo aliokuwa akiishi Tupac kupigwa mnada


Akiwa amefariki kwa zaidi ya miaka 20, rapper Tupac bado yupo midomoni mwa watu kila siku.

Hit maker huyo wa ngoma ‘Dear mama’ alitoka jela mwaka 1995 na akafikia katika mjengo wake ulipo Calfonia maeneo ya The San Fernando Valley, stori ni kwamba nyumba hiyo imeingia sokoni hii ni ka mujibu wa mtandao wa TMZ.

Mjengo huo utauzwa kwa kiasi cha dola milioni 2.65 ambayo ina vyumba sita vya kulala, huku baaadhi ya vitu vikiwa vimeechwa kama vilivyo kwa ajili yab kumkumbuka msanii huyo.

Hizi ni baadhi ya picha za nyumba hiyo.




0 comments:

Post a Comment