Mkataba huu mpya ni sawa na maboresho ya ule wa awali wa miaka mitatu ambao Conte alisaini Julai mwaka jana ukimweka klabuni hapo hadi mwaka 2019.
Mkataba huu mpya unakwenda kuboresha maslahi ya kocha huyo ambaye anajiandaa na safari ya kuelekea barani Asia kwa ajili ya michezo ya kirafiki ambapo Chelsea watacheza dhidi ya Arsenal na Bayern Munich.
Akiuzungumzia mkataba huo, Conte amesema anafuraha kusaini mkataba mpya baada ya mafanikio makubwa katika mwaka wake wa kwanza huku na kwamba wanajiandaa kwa ajili ya kusalia kileleni.
0 comments:
Post a Comment