
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam leo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.

Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania AS, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania , Genevieve Kasanga akiongoza warsha ya GESI

Wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye warsha


Wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye warsha



Picha ya pamoja mara baada ya warsha.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akizungumza na wanahabari.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akibadilishana mawazo na wadau.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza na wanahabari.
0 comments:
Post a Comment