Wednesday, 14 June 2017

#VIDEO: Gigy Money amefunguka kwamba alipewa Mil. 5 Arusha kabla ya Kumharibia Msando



Juzi DjHazuu alipata nafasi ya kufanya Exclusive Interview na Malkia wa Video za Bongo, Gigy Money baada ya kuharibu hali ya hewa ya Arusha ambapo zilisambaa Video Clips zikimuonyesha yeye na mwanasheria maarufu Albert Msando wakishikana shikana sehemu ambazo sio.
Kwenye Interview hii hapa chini Gigy amezungumzia mambo mengine mengi ikiwa ni pamoja na Video yake mpya ambayo amesema kwamba ndani yake amevaa CHU*I tu (Nguo ya ndani) na kathibitisha kwamba video hiyo ameifanya kwa ajili ya YouTube tu.



TAZAMA INTERVIEW NZIMA HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment