Okwi anasema amefurahi sana kurudi katika timu yake hiyo ya zamani ikiwa chini ya viongozi wapya ambao ambao wanaonekana na njaa ya timu yao kufanya vizuri zaidi hivyo ameahidi kushirikiana nao na kuhakikisha timu hiyo inafanya vyema.
Monday, 26 June 2017
Okwi Atema Cheche
Okwi anasema amefurahi sana kurudi katika timu yake hiyo ya zamani ikiwa chini ya viongozi wapya ambao ambao wanaonekana na njaa ya timu yao kufanya vizuri zaidi hivyo ameahidi kushirikiana nao na kuhakikisha timu hiyo inafanya vyema.
Related Posts:
EXCLUSIVE: KIUNGO MBAO FC ALIYEELEZWA KUSAINI YANGA, KIMYAKIMYA ASAINI SIMBAPIUS BUSWITA AKIMILIKI MPIRA MBELE YA IBRAHIM AJIBU WA SIMBAWakati kumekuwa na taarifa kwamba Pius Buswitaameishasaini Yanga, sasa ni uhakika kiungo huyo wa Mbao FC, amejiunga na mabingwa wa Kombe la Shirikisho, Simba.Simba i… Read More
Ranieri apata timu mpya. Baada ya kuipandisha ligi kuu kocha Claudio Ranieri aliipa Leicester ubingwa wa Epl lakini msimu uliofuata alitimuliwa na timu hiyo, lakini leo kocha Claudio Ranieri amepata klabu mpya baada ya timu ya Nantes ya nchini Ufara… Read More
TANZANIA HATARINI KUFUNGIWA NA FIFATANZANIA iko hatarini kufungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kile kinachoonekana Serikali kutaka kuingilia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Jana TFF ilitoa taarifa ya mchakato wa uchaguzi wake, ambao i… Read More
Aliyemvunja mguu Luke Shaw atua AS Roma Roma,Italia. AS ROMA imefanya usajili wake wa kwanza wa majira ya joto kwa kumnasa beki wa kati wa PSV Eindhoven ya Uholanzi raia wa Mexico,Hector Moreno kwa ada ya uhamisho ya €5m. Moreno mwenye umri wa miaka 29 ameji… Read More
Christiano Ronaldo amgaragaza Messi kwa mkwanjaJarida maarufu la Forbes limetoa orodha ya wasanii na wanamichezo walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2017 ambapo mchezaji wa Real Madrid ndiye aliyeongoza orodha hiyo kwa upande wa wachezaji wa mpira wa miguu akifuatiw… Read More
0 comments:
Post a Comment