Kiungo nyota wa Everton, Morgan Schneiderlin ameamua kutangulia nchini.
Schneiderlin yuko nchini kwa ajili ya honeymoon baada ya siku chache kufunga ndoa.
Watanzania watapata bahati ya kumshuhudia Schneiderlin akiichezea Everton katika mechi yake ya kwanza barani Afrika ambayo itapigwa Julai 13 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment