
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dr Tulia Ackson kupitia taasisi yake ya ‘Tulia Trust‘ ameamua kuandaa mashindano ya riadha kwa mara nyingine tena huku zamu hii ikiwa ni kwa wakazi wa Mbeya huku lengo kubwa likiwa ni kuboresha miundombinu ya Elimu na Afya.
Unaambiwa zoezi litafanyika March 11 2017 huku likiwahusisha watu mbalimbali wakiwemo watu wenye ulemavu na wazee ambapo litaanzia katika viwanja vya Sokoinekuanzia saa 12 asubuhi.
Kwenye hii video hapa chini Dr. Tulia ametuelezea mpango mzima utakavyokuwa siku hiyo…
0 comments:
Post a Comment