Thursday, 23 March 2017

Ujumbe wa China wa Chama cha Kikomonisti

MUGU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
MUGU 1
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
MUGU 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
MUGU 3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw.Guo Jinlong (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]23/03/2017.

0 comments:

Post a Comment