
February 25 2017 Simba SC walikuwa wenyeji wa Yanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Vodacom, mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya 1-1 ila leo Simba wamepata ushindi wa goli 2-1, nimekusogezea video ya magoli yote mtu mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment