Saturday, 25 February 2017

Ridhiwani na Lowassa, Mbowe na Nape kwenye eneo moja leo Uwanja wa Taifa

Mechi ya Simba vs Yanga leo imemalizika kwa ushindi wa Simba kupata goli 2-1 lakini pia imekutanisha baadhi ya viongozi kutoka vyama viwili vya kisiasa Tanzania ambavyo niCHADEMA na CCM.
Kwenye mechi ya leo Mgombea Urais 2015 kupitia CHADEMA Edward Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe walikua wamekaa eneo moja kutazama mpira na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye na walionekana wakisalimiana.

Wakisilimiana Jamal Malinzi Rais wa TFF, Edward Lowassa na Nape Nnauye

Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya Mashabiki

Mwenyekiti Freeman Mbowe akizungumza na Edward Lowass
a


FULL VIDEO: Mwigizaji Steve Nyerere atokwa machozi, aongelea sauti ya maongezi ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu, kila kitu kipo kwenye hii video hapa chini
FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyotangaza kuhamia CHADEMA, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment