Thursday, 23 February 2017

MSANII CHINDO MAN AFIWA NA MTOTO WAKE.


    Msanii maarufu wa kundi la Watengwa Chindo Man a.k.a Umbwa amefiwa na mtoto wake wa kiume jijini London baada ya kuungua na moto taarifa zinasema wakati moto huo ukiwaka hakuwepo mtu karibu kutoa usaidizi! Mtandao wa Perfect255.com unapenda kutoa pole kwa Chindo Man pamoja na familia yake kwa kipindi hiki kigumu. #RipSon

    Dondosha comments

    0 comments:

    Post a Comment