Saturday, 25 February 2017

Mastaa, wanasiasa na viongozi wengine walivyojitokeza kuangalia Simba vs Yanga (+Picha)


February 25 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilichezwa game ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kati ya Simba vs Yanga, game hiyo ambayo ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1, ilikuwa na mvuto wa aina yake kiasi cha kupelekea watu maarufu mbalimbali kuhudhuria.
Miongoni mwa watu ambao hawakutaka kupitwa na game hiyo ni pamoja na Madee,Ommy Dimpoz na Mwana FA wanaoshabiki Simba, muigizaji Wema Sepetu ambaye ni shabiki wa Yanga, mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete pamoja na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.
Msanii wa Bongofleva Madee
Mwana FA na Ommy Dimpoz wakiwa na mashabiki
Mkurugenzi wa ufundi wa Yanga Hans van Pluijm
Afisa habari wa Simba Haji Manara
Wema Sepetu na shabiki
Wema Sepetu
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akiwa na shabiki wa soka
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete
Afisa habari wa Simba Haji Manara akiwa na furaha baada ya Simba kupata goli
Muigizaji Wema Sepetu ambaye pia ni shabiki wa Yanga
Mbunge na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni shabiki wa Yanga pia
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro

0 comments:

Post a Comment