Wednesday, 15 February 2017

Documentary ya NOTORIOUS B.I.G. iko mbioni



Takribani miaka 20 tangu mnyamwezi Notorious B.I.G kutisha katika enzi zake za uhai, ni mkao wa kula sasa kuipokea Documentary BIG.
Kupitia taarifa ambayo imetolewa na “Vairiety” imefunguka kwamba Documentary hiyo italetwa chini ya uongozi wa Submarine Entertainment na ByStorm Film ambao wote hawa watausika kuisuka filamu hiyo, Jambo zuri ambalo mashabiki wamelifurahia ni jina la Documentary hiyo imepewa jina halisi la msanii huyo, Notorious B.I.G.: One More Chance.
Filamu hiyo pia imepitishwa kwenye mikono ya mama mzazi wa Notorious B.I.GVoletta Wallace pamoja na vitu vya Rapper huyo ambavyo aliviacha enzi za uhai wake.
“It brings so much joy to my heart that my son Christopher’s music has made such an impact on the music community and his stories have positively inspired so many young men and women over the years, and still influencing the youth all over the world today,” alizungumza Wallace na “The challenge of making a film about one of the most influential artists of my generation is what I live for as a filmmaker.” 
Huu mwaka umebeba alama kubwa ya kukumbuka miaka 20 tangu kuondoka kwa B.I.G mwaka March 9, 1997.

0 comments:

Post a Comment