Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya, akizungumza wakati wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC), uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Masuala ya Siasa,Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Jorge Cardoso, akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya hiyo,uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya, akiongoza Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,Kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam
Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Profesa Jean Kitembo Mbilika ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu kutoka Malawi,Michael Gama ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkuu wa Uhamiaji kutoka nchini Swaziland,Makhosi Simelane ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Balozi wa Zimbabwe nchini, Walter Sande akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Watatu kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
…………………….
Na MwandishiWetu.
KaimuKatibuMkuuwaWizaraya MamboyaNdaniyaNchi, Balozi Hassan Simba Yahya, amewaombawashirikiwaMkutano waKamatiNdogoyaUsalamawaRaiayaJumuiyaya Maendeleo Kusinimwa Afrika (SADC), kuhakikishawanapambanakupunguzavitendovyaujangili,biasharayamagendo,biasharayabinadamu,uhamiajiharamukwanivitendohivyovinarudishanyuma maendeleo yanchizilizopokatikajumuiyahiyo, hivyokupelekeakurudinyumakwashughulizamaendeleo nauchumi.
Balozi Simba aliyasemahayoalipozungumzakatikaMkutano huouliojadilimasualambalimbaliyaulinzinausalamakatikamaeneoyanchiwanachamawajumuiyahiyo, uliohusumasualayauhamiaji,ukimbizi, mbuganawanyamaporikatikamaeneoyanchiwanachamawajumuiyaya SADC, leojijini Dar es Salaam.
“HatuwezikuendeleakiuchumikatikanchizetuzawanachamawaJumuiyaya Maendeleo Kusinimwa Afrika, kamamatendoyaujangili,biasharayabinadamu, masualayawakimbizi, uhamiajiharamuhayajatafutiwaufumbuzi, kwanihayayatazoroteshashughulizakiuchumiikiwepoutalii, hivyoni bora tukayafanyiakazimaeneohayo,” alisemaBalozi Simba
Akizungumzawakatiwauchangiajimadakatikamkutanohuo,MkurugenziwaMasualayaSiasa,UlinzinaUsalamawaJumuiyayaMaendeleoKusinimwaAfrika (SADC) Jorge Cardoso, alisemauhalifukatikamipakayanchiwanachamaikiwemouwindajiharamuwapembezandovu, uhamiajiharamu,biasharayabinadamunamadawayakulevyalazimavidhibitiwekwanivikiachwambelenivitahatarisha Amani nautulivuuliopokatikanchiwanachama.
“Amani nautulivukatikanchiwanachamanikichocheo cha mabadilikoilikupigahatuazakimaendeleokwendambelenakushirikianakukuzauchumikatikanchiwanachamawa SADC, hivyoyatupasawotekwapamojakuungamkonoharakatizakukomeshavitendovyauhalifukatikanchinamipakayetu,” alisema Cardoso
Aidhawashirikiwamkutanohuokutokakatikanchiza Tanzania, AfrikaKusini, JamhuriyaKidemokrasiayaKongo, Swaziland, Malawi, ZimbabwekwapamojawalikubalianakupitiaKamatizaUlinzinaUsalamakatikanchizaokudhibitimatendoyoteyanayohatarishaamaninautulivu.
0 comments:
Post a Comment