Friday 16 June 2017

Dkt. Kigwangala Azishauri Taasisi za Kifedha Kuwekeza Dodoma

DM1

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakiwasili katika Hotel ya Hyatty  Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.
DM2
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Huduma Binafsi wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Bw. Julius Ngonyani  alipowasili katika Hotel ya Hyatty  Regency, Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
DM3
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
DM4
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakipata huduma ya chakula alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.
DM5
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kamal Steel, Bw. Gupta (kushoto) walipokutana katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
DM6
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiteta jambo na mmoja wa wadau wa Benki ya Biashara Afrika (CBA) wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
DM7
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya menejimenti ya Benki ya CBA mara baada ya kumaliza hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.

0 comments:

Post a Comment