Thursday, 23 March 2017

VIDEO: Harmorapa afunguka kwanini alikimbia baada ya kuona Nape katolewa Bastola

Hamorapa ni msanii mpya wa Bongofleva ambaye amejichukulia umaarufu wa mitandao ya kijamii baada ya matukio yake ya hapa na pale ambapo leo March 23 2017 video yake imesambaa kwenye mitandao akionekana kukimbia baada ya kuona Polisi katoa Bastola akimtisha Mbunge Nape Nnauye.
Tazama alichoongea Harmorapa kwenye hii video hapa chini pia hakikisha umebonyeza subscribe kwenye channel ya millardayo Youtube ila kila habari ikufikie yakiwemo matukio ya LIVE
.

0 comments:

Post a Comment