Thursday, 23 March 2017

HII NDIO NDOTO BEYONCE AIKAMILISHA KWA SHABIKI WAKE


Beyonce ameamua kukamilisha ndoto ya shabiki wake ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo la Kansa.
Mararifiki wamekuwa ni moja ya nguzo kwa kumsaidia mwanafunzi mwenzao ambaye alikuwa nasumbuliwa na tatizo la kansa kwa kumsaidia kumkutanisha na Beyonce, Ebony Banks ndio jina la bini huyo ambaye ndoto zake zimefanikiwa kwa kufanya video na mwanamama Beyonce.
rafiki wa karibu wa Ebony Banks walitumia hashtag ya #EBOBMEETSBEYONCE ambayo ilitumika katika kumetengenezea aware Beyonce.

Dondosha comments

0 comments:

Post a Comment