Sunday, 19 February 2017

FULL VIDEO: Kamishna mpya wa dawa za kulevya afunguka yanayoendelea

Ishu ya dawa za kulevya ndio inamiliki headlines sasa hivi ambapo Rais Magufuli alimteuaRogers Sianga kusimamia kitengo hicho cha kupambana na dawa za kulevya, Kamishna huyo amehojiwa na AzamTV kupitia FUNGUKA na kueleza mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment